Kazi imekwisha wajumbe safarini Posted by Vempin Media Tanzania on November 06, 2007 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wakijiandaa kukwea gogo ili kurejea makwao, wengine waliondoka jana na wengine wataondoka leo jioni kwa usafiri wa aina mbalimbali, kila la kheri wajumbe wa CCM. Comments
Comments