WANAHABARI WAJADILI UMUHIMU WA UHIFADHI NA UJIRANI MWEMA JIJINI TANGA

 Mkurugenzi wa Utalii na Masoko  kutoka Hifadhi za Taifa Tanzania, Ibrahim  Mussa akizungumza wakati wa Mjadala juu ya uhifadhi katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'. 
 Mtaalam na Mtafiti wa Tembo,Dk Alfred Kikoti  akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo  mbalimbali vya habari nchini  kuhusu Ikolojia ya tembo katika hifadhi nchini katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana  kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'. 

 Mwenyekiti wa MisaTan , Salome Kitomari  akichangia jambo katika moja ya mada katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana  kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'. 
 Ofisa anaeshughulikia masuala ya Ujirani mwema kutoka TANAPA, Ibrahim Ninga akitoa somo kwa Wanahabari nini Mamlaka yake imefanya katika kuakikisha hakuna migogoro baina ya hifadhi na Majirani
 Sehemu ya Wahariri na Waandishi Waandishi waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari  ambao wameshiriki mkutano wa Mwaka wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Nchini Jijini Tanga
Mhariri wa MwanaHalisi ,Jabir Idrissa akiuliza swali kwa wawezeshaji wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) Jijini Tanga.
 Katibu wa Jukwaa la Wahariri , Neville Meena  akinyosha Mkono kwa ajili ya kuhitaji kuchangia juu ya nini kifanyike hili Waandishi wa habari waweze kuripoti habari za utalii wa hapa nchini katika nyanja ya kimataifa.
 Mwenyekiti wa MisaTan , Salome Kitomari  akichangia jambo katika moja ya mada katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana  kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'. 
 Ofisa anaeshughulikia masuala ya Ujirani mwema kutoka TANAPA, Ibrahim Ninga akitoa somo kwa Wanahabari nini Mamlaka yake imefanya katika kuakikisha hakuna migogoro baina ya hifadhi na Majirani
 Mhariri wa gazeti la Jamhuri ,Jackton Manyerere akichangia juu ya umuhimu wa wadau wa utalii sasa kutumia mkoa wa mara ambao upo jirani na Hifadhi ya serengeti utumike kama kituo cha kupokelea Watalii kuliko Arusha hivi sasa
 Mdau Lilian Timbuka na Sara Kibonde wakaijadili jambo mara baada ya kukutana kwenye mkutano wa Wahariri na waandishi waandamizi.
 Mratibu wa mradi Misitu ya Hifadhi ya Mazingira  Asilia Tanzania, Gerald Kamwenda akiteta jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania(TFS) ,Prof Dos Santos Silayowakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wahariri na Waandishi Waandamizi Jijini Tanga ulioandaliwa na Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA)
Washiriki wengine wakifatilia Mada katika Mkutano wa Mwaka  wa Wahariri wa Waandishi Waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya Habari ulioandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA).

Comments