Monday, July 24, 2017

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MPANGO KINA WA MJI WA KAWE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Misonge Shambwe akizungumza na Wadau waliofika kwenye Shirika la Nyumba la Taifa kujadili Mpango kina wa Mji wa Kawe ambapo wadau hao waliunga mkono mpango kina huo uliowasilishwa kwao na Mshauri Mwelekezi na kuahidi kushiriki bega kwa bega katika uendelezaji wa Mji Mpya wa Kawe
Baadhi ya Wadau waliofika kwenye Shirika la Nyumba la Taifa kujadili Mpango kina wa Mji wa Kawe ambapo wadau hao waliunga mkono mpango kina huo uliowasilishwa kwao na Mshauri Mwelekezi na kuahidi kushiriki bega kwa bega katika uendelezaji wa Mji Mpya wa Kawe
Baadhi ya Wadau waliofika kwenye Shirika la Nyumba la Taifa kujadili Mpango kina wa Mji wa Kawe ambapo wadau hao waliunga mkono mpango kina huo uliowasilishwa kwao na Mshauri Mwelekezi na kuahidi kushiriki bega kwa bega katika uendelezaji wa Mji Mpya wa Kawe.
Post a Comment