Thursday, July 27, 2017

Spika ashiriki katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Barani Afrika uliofanyika, mjini Abuja, Nigeria

Mhe Spika Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Nigeria,Mhe Alhaji Yakubu Dogara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.
IMG-20170726-WA0034 (1)
Mhe Spika Job Ndugai akisalimiana na Kaimu Rais wa Nigeria Mhe Prof.Yemi Osinbajo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.

No comments:

Exploring the Depths of History: A Journey into Amboni Caves

  By Our Correspondent, Tanga The air is thick with excitement as students from Alharamain High School in Dar es Salaam and Alfagems Seconda...