Tuesday, July 04, 2017

BODI YA WAKURUGENZI NHC YAWAKABIDHI VYETI VYA UTAMBUZI, WASHINDI WA TUZO ZA WANAWAKE WAGUNDUZI KATIKA SEKTA YA UJENZI

 •  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Blandina Nyoni akimkabidhi cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi, Margaret Ezekiel,  ambaye pia ni Mkadiriaji Majenzi Mkuu wa NHC aliyekabidhiwa cheti cha ushindi kwenye tukio lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumatano (Mei 24, 2017) likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini. Tuzo hizo za sekta ya ujenzi huibua vipaji bora na haba vya wanawake katika ujenzi wa nyumba na sekta nzima ya ujenzi na kutambua umuhimu wa wanawake katika sekta ya ujenzi. Cheti hicho cha kutambua ushindi wake kimetolewa na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa.

 • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Blandina Nyoni akimkabidhi cheti cha Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi, Halima Simtitu, ambaye pia ni Mhandisi wa NHC aliyekabidhiwa cheti cha ushindi kwenye tukio lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumatano (Mei 24, 2017 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini akizungumza mbele ya Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa kuhusu nini anafanya na kipi kilimpa ushindi huo.
 •  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Blandina Nyoni akisoma cheti baada ya kukisaini cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.

 • Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi, Margaret Ezekiel,  ambaye pia ni Mkadiriaji Majenzi Mkuu wa NHC aliyekabidhiwa cheti cha ushindi kwenye tukio lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumatano (Mei 24, 2017) likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini akizungumza mbele ya Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa kuhusu nini anafanya na kipi kilimpa ushindi huo.
 • Mshindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi bora kijana wa chini ya umri wa miaka 30 katika sekta ya ujenzi, Halima Simtitu, ambaye pia ni Mhandisi wa NHC aliyekabidhiwa cheti cha ushindi kwenye tukio lilifanyika kwenye tafrija mchapalo ya jioni siku ya Jumatano (Mei 24, 2017 likiwa katika ukumbi mmoja na maonyesho ya sekta ya ujenzi ya Afrika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Gallagher Convention Centre, Johannesburg, Afrika Kusini akizungumza mbele ya Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa kuhusu nini anafanya na kipi kilimpa ushindi huo.

 • Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijiandaa kushuhudia makabidhiano ya vyeti vya kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi vilivyotolewa kwa Margaret na Halima. 
 •  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpongeza Margaret baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.

 •   Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpongeza Mhandisi Halima Simtitu baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.

 • Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Muungano Saguya akiwapongeza Mhandisi Halima Simtitu na Margaret Ezekiel baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.
 • Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Muungano Saguya na Katibu wa Mkurugenzi Mkuu, Agatha Makungu wakiwapongeza Mhandisi Halima Simtitu na Margaret Ezekiel baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.

 • Margaret Ezekiel na Mhandisi Halima Simtitu baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.
 • Margaret Ezekiel na Mhandisi Halima Simtitu baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango mkubwa na ushindi wa Tuzo ya Mwanamke Mgunduzi na Mbunifu bora wa mwaka katika sekta ya ujenzi.

Post a Comment