WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA MOMBA


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu  wa NHC Nehemia Mchechu katika mradi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watendaji wakuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba nyumba hizo zipo 20 zinazojengwa na Shirika la Taifa la Nyumba katika eneo la Tindingoma, Chitete wilayani Momba Julai 21, 2017. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC, Blandina Nyoni. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akikaribishwa na akisalimiana na Meneja wa NHC mkoa Mbeya Juma Kiaramba katika mradi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watendaji wakuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba nyumba hizo zipo 20 zinazojengwa na Shirika la Taifa la Nyumba katika eneo la Tindingoma, Chitete wilayani Momba Julai 21, 2017. Kushoto kwa Kiaramba ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari.
  Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamais Susan Omari









Comments