Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani, Dkt. Egina Makwabe, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam, leo.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Leonce Nicholaus Mulenda, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam, leo.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Zainab Kawawa, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam, jana. Katikati ni dada zake Mariam Kawawa na Zamaradi Kawawa. Picha na Mafoto Blog
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, anayetetea nafasi yake, Charles Makongoro Nyerere, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Dkt. Evance Mujuni Rweikiza, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Shedrack Mana Mashauri, wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam.
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania wa mwaka 1998, Kada wa CCM, Basila Kalabha Mwanukuzi akiongozana na mtoto wake, Patrick Nubi, wakitoka Ofisi ndogo za CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam, kuchukua Fomu za kuwania nafasi ya Ubunge Bunge la Afrika Mashariki. Baadhi ya Makada wa CCM jana walijitokeza katika Ofisi hizo kuchukua Fomu baada ya kutangazwa kuanza kutolewa fomu hizo.
Wagombea wakipishana kuingia kuchukua fomu kwenye Ofisi hizo Lumumba jijini Dar leo.
Baadhi ya Vijana waliojitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo wakiwa katika foleni ya kuiingia kuchukua fomu.
Badhi ya Makada wakiwa katika foleni kusubiri kuingia kuchukua fomu.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM,Moses Bahati Ole-Neselle.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM,Grace Emmanuel Sameji.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM,Nicholaus George Ngassa.
Comments