Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo na Acting Colonel Joseph Bakari wakisikiliza maelezo kabla ya hatua ya kumvua cheo cha zamani na kumvika kipya
KATIKA hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali.
Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo akimvisha cheo kipya Colonel Joseph Bakari.
Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo akimvisha kofia ya cheo kipya Colonel Joseph Bakari
Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo akipikea zawadi maalumu ya Sekretarieti ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (International Military Sports Council-CISM) toka kwa Kanali Joseph Bakari wakati wa hafla hiyo
Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo akiwa na Kanali Joseph Bakari na mkewe
Comments