RAIS NA AMIRIJESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, DKT.JOHN MAGUFULI, AZINDUA UWANJA WA KISASA WA NDEGEVITA, NGERENGERE
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kufyatua risasi ya bastola kuashiria matumizi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini Dkt wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017.
Comments