Wednesday, March 08, 2017

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI NHC ATEMBELEA MIRADI MTWARA NA LINDI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akisalimiana na wafanyakazi wa NHC mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili mkoani humo na tembelea miradi mbalimbali akitokea mkoani Mtwara.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akisiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye mradi wa nyumba za makazi za Napupa, wilayani Masasi. Kulia ni Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Nehemia Msigwa na kushoto ni Mkurugenzi wa Operesheni na Usimamizi wa Mikoa, Raymond Mndolwa, ziara hiyo ilifanyika juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye mradi wa nyumba za makazi za Napupa, wilayani Masasi. Kulia ni Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Nehemia Msigwa na kushoto ni Mkurugenzi wa Operesheni na Usimamizi wa Mikoa, Raymondo Mndolwa, ziara hiyo ilifanyika juzi.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye mradi wa nyumba za makazi za Napupa, wilayani Masasi. Kulia ni Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Nehemia Msigwa na kushoto ni Mkurugenzi wa Operesheni na Usimamizi wa Mikoa, Raymondo Mndolwa, ziara hiyo ilifanyika juzi.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye majengo ya NHC Lindi yaliyopo ufukweni. Ziara hiyo ilifanyika juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiwa katika picha pamoja na Mbunge wa viti maalumu, Riziki Lulida, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na watumishi wengine wa NHC. ziara hiyo ilifanyika juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye mradi wa nyumba za makazi za Mtanda, Lindi. Ziara hiyo ilifanyika juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu walipokuwa ziarani kwenye mradi wa nyumba za makazi za Mtanda, Lindi, ziara hiyo ilifanyika juzi.

Jengo la zahanati ya kijiji cha Nnolela ambalo halijamalizika, litamaliziwa na Shirika la Nyumba la Taifa kama sehemu yake ya huduma kwa jamii.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akikagua jengo la zahanati ya kijiji cha Nnolela ambalo halijamalizika, litamaliziwa na Shirika la Nyumba la Taifa kama sehemu yake ya huduma kwa jamii.
Post a Comment