Friday, March 24, 2017

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU KWA HALMASHAURI YA BUSOKELO

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya akitoa neno la shukurani baada ya makabidhiano.
 Muonekano wa nyumba zilizojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo ndugu Eston Ngilangwa akisaini hati ya makabidhiano ya nyumba hizo.
 Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mbeya akisaini hati ya Makabidhiano ya nyumba hizo.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyuma la Taifa, Erasto Chilambo akisaini hati ya makabidhiano ya nyumba zote.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyuma la Taifa, Erasto Chilambo akikabidhi hati ya makabidhiano ya nyumba hizo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busokelo.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyuma la Taifa, Erasto Chilambo akitoa shukurani baada ya makabidhiano.

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wa mkoani Mbeya wakifuatilia matukio kwa karibu


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Busokelo, ndugu Anyosisye Njobelo akizungumza waandishi wa habari wakati wa makabidhiano ya nyumba hizo leo.

Post a Comment