Friday, March 03, 2017

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NA COMORO NCHINI,LEO IKULU JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt,ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais).
 
 Picha ya pamoja

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Comoro hapa nchini Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais)
Picha ya pamoja

No comments:

WAZIRI NDEJEMBI AWASILI SHINYANGA KUSHUHUDIA MRADI MKUBWA WA UMEME WA JUA WA MEGAWATI 100

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.) , leo Julai 27, 2026 , amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi, ambapo amepokelewa ...