Mjomba akikamua Nanenane Moro


Msanii wa muziki Mrisho Mpoto akitumbuiza baadhi ya wananchi waliokuwa wakitembelea banda la Wizara ya Fedha juzi katika maonyesho ya Nanenane kanda ya kati yanayoendelea mkoani Dodoma.
Picha na Masoud Masasi.

Comments

emu-three said…
Mjamaa anayaua mashairi, namuaminia
emu-three said…
Mjamaa anayaua mashairi, namuaminia