Landcuiser (NYEKUNDU) ya mgombea ubunge Singida mjini,Hawa Ngulume,baada ya kugonga hiece kwa nyuma aliyokuwa amepanda mgombea mwingine Mohammed Dewji na kusababisha Dewji kurushwa na kugonga paa la hiece hiyo na kuumia. Picha na Gasper Andrew
Comments
Anonymous said…
hii yote ni kwa sababu ya uchaguzi, nani amwmbie jk umechelewa ungeanza na karamagi,msabaha hapo tungejuwa uko serious. BOT imegharimu $354.00 kujenga lakini gharama halisi ni $73.00 zingine wamegawana vizito wa sirikali!!!!
Comments