Sunday, August 02, 2009

Hee, ..Miss Temeke kumbe!












Hatimaye Redds Miss Temeke 2009 amepatikana ambaye ni Sia Ndeskoi kama unavyomuaona katika picha akiwa kati lakini katika picha nyingine katika pozi tofauti sambamba naye wapo warembo walioshiriki naye shindano hilo. shindano la urembo kanda ya Temeke lilifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe na kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa urembo.

No comments:

SADC Yazindua Mkakati wa Mawasiliano wa mwaka 2025-2030

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezindua Mkakati wa Mawasiliano na Uhamasishaji wa Mwaka 2025-2030 ili kuimarisha mawasiliano...