Futari na Rais


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Dar Es Salaam, Mhashamu Method Kilaini, mara baada ya kumalizika kwa shughuli ya futari ambayo Rais Kikwete aliwaandalia viongozi wa dini na madhehebu mbali mbali nchini jana, Jumamosi, Agosti 29, 2009, Ikulu, Dar Es Salaam.

Comments

Anonymous said…
huyo jamaa mshamba na mjinga kwani hiyo zawadi anazotoa zitamsaidia nini mtanzania wakati kila siku anawatia watu umasikini kwa roho mbaya yake
SEDOUF said…
Picha ya Rais wetu na kiongozi wa kanisa inamaanisha nini katika sherehe inayowahusu waislamu?

Binafsi ningeona ni right kuiwasilisha picha ya Rais na kiongozi mmoja wapo wa kiislam katika futari hiyo.


au nimekosea?