Sylvia Frank Shally (pichani mwenye kivazi chekundu) amekuwa Miss Redds Ilala 2009 na pia ameibuka kuwa Miss Redds-Michuziblog Photogenic. Sylvia kajishindia shilingi laki 5 ambazo zimetolewa na Redds Premium lager, Picha zingine zinaonyesha washiriki wa shindanom hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo na kupambwa na burudani za aina mbalimbali. Picha za Salhim Shao.
Comments