Hebu nipeni kapsheni ya hii picha


Ni mambo ya kawaida sana katika jamii na kwa afya ya jamii, upitapo kila kona ya nchi hii utawakuta wakiwa katika vijimeza vyao kandoni mwa barabara, lakini jeee wanauza nini hebu nipeni kapsheni.

Comments

SEDOUF said…
Kwa kumbukumbu zangu hawa jamaa huwa wanauza "dawa" kama vile dawa ya mapenzi! na nyenginezo.
Anonymous said…
jamani .mna shulubati hapo.mme wangu hawezi majamboz kabisa