Hasheem Thabeet






Mtanzania mcheza mpira wa kikapu Marekani wa ligi ya NBA, Hasheem Thabeet, akiwasili Dar es Salaam kwa heshima ya kitaifa kwa kupokewa na Naibu Waziri, Joel Bendera (suti) na Rais wa mpira wa Kikapu, Richard Kasesela jana. Picha ya Venance Nestory.

Comments