Mama Obama



Mama Michelle Obama akiwa na mwanaye ndani ya vikaptula akishuka ktk Air Force One ni Mke wa Rais wa Kwanza (nadhani Ulimwenguni) kutoka namna hiyo, uvaaji wake huo umeleta mjadala mkubwa sana katika jamii nyingi duniani .

Comments