Monday, August 24, 2009

Matatizo ya wafugaji Longido

Mfugaji akiswaga ndama walio salia baada ya Ng'ombe wake zaidi ya 700 kufa kwa ukame.
Rais Jakaya Kikwete juzi alitembelea Wilaya ya Longido kuangalia athari za Ukame na upungufu wa chakula uliopo Wilayani humo na kuahidi kuwapatia msaada.
Blogu hii ya jamii inawaomba viongozi wa serikali kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa haraka na bila usumbufu.

2 comments:

Anonymous said...

kaka kazi yako nzuri na inaelimisha kwa kweli naifurahia ukizingatia kuwa picha zako ni action yaani professional
ila ingependeza sana kama malelezo yako yangekuwa yanatoa sulihisho la tatizo

kwa mfano akatoka mmasai akapitia blog yako hii haujamshawishi kufanya mabadiliko katika myanja ya ufugaji wa kisasa na wakitaaamu zaidi
kwani badala ya kuwa na ng'ombe 700 halafu baadae wakafa wote haina maana kama kuuza ngo'mbe 200 ukaingia kwenye teknolojia ya kuvuna na kuhifadhi maji