Wednesday, August 05, 2009

Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji


Padre Timothy Coday wa Shirika la Kanisa Katoliki la Damu Azizi ya Yesu akimwonesha Rais Jakaya Mrisho Kikwete pampu katika kituo cha maji alichokizindua katika mji wa Manyoni, Mkoani Singida leo

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...