CC- NEC za CCM mambo magumu mnooo



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kepteni Mstaafa John Chilighati (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma jana baada ya kumalizika kwa mkutano wa kamati kuu. Picha na Jube Tranquilino

Speaker of the National Assemby Samwel Sitta listens to Abdulahman Kinana before the opening of NEC meeting in Dodoma yesterday. Photo/Jube Tranquilino

Comments

SEDOUF said…
MWAKANI NDIO WAKATI PEKEE WATU WA NCHI HII WATAKAPOWEZA KUJILETEA MAENDELEO KWA KUIANGUSHA CCM.
KUENDELEAKUIEKA MADARAKANI CCM NI KUJICHIMBIA MAKABURI YETU WENYEWE.