Monday, August 03, 2009

Azimio la Dodoma



Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa Azimio la Kilimo Kwanza pamoja na kufungua rasmi maonesho ya wakulima Nane Nane katika viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana. Azimio hili bwana sijui kama litakuwa strong kama yalivyokuwa yale ya kilimo cha kufa na kupona au elimu kwa wote au azimio la Arusha, au azimio la Iringa na kadhalika sisi tunasubiri utekelezaji. Picha na Jube Tranquilino

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...