Miss Universe Tanzania 2009, Illuminata Wise, bado anajaribu bahati yake huko Bahamas tuzidi kumpigia kura na kumuombea dua ashinde.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...
3 comments:
Charahani unataka tumuombee dua Bilisi? Labda tumuombee dua aokoke awe kondoo wa bwana, kwasababu hali hiyo hapo inatisha, sioni tofauti na wale akina dada wa nightclubs wanavyokuwa wakiserebuka mawindoni.
CHAMITA.
Kwa yeyote mwenye maadili ya dini ya Mwenyezimungu hawezi kumuombea dua kuendeleza upumbavu wa kukaa uchi "HOVYO HOVYO" kama anavyotuonyesha uchi wake labda dua tunayomuombea "Mwenyezimungu amjaalie aweze kujisalimisha kwake na kuifahamu njia ya haki na kuifuata. Ajue namna sahihi ya kusitiri maumbile yake na atubie mwa mola wake amiina."

Post a Comment