watoto shuleni



Watoto wa Shule ya Sekondari Mbezi Msigani wakifanya mambo ndani ya shule yao wakati wa hafla ya kuwaaga wenzao wanaotarajiwa kuanza nitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka huu. Picha na MIchael Matemanga.

Comments