hebu nambieni jamani nini kinapikwa

Jamani hivi vyungu vinapika nini na tena katika eneo la mficho kama hili nambieni jamani , au ni kinywaji au sijui ni chakula??

Comments