Sunday, September 14, 2008

Futari ya jana hii



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein katikati kakila futari pamoja na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba aliyoiandaa kwa ajili ya Wananchi wa Kisiwa hicho huko katika Ikulu ya Chakechake jana. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Juma Kassim Tindwa kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi. Picha ya Amou Nassor (VPO)

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...