msongamano


Baadhi ya abiria na wafanyakazi wa daladala zinazotumia kituo cha Mwenge wanalalamika kwa kutokuwa na huduma ya choo katika kituo hicho, wameiomba manispaa ya Kinondoni kujenga choo. Deus Mhagale.

Comments