usingizi nomaaa


Mlinzi akiuchapa usingizi katika lindo mjini Dodoma bila ya kujua kuwa anahatarisha
usalama wake na wa mali anayolinda kwa kutolinda vyema silaha yake.Picha na Jube
Tranquilino

Comments