watoto jamani Posted by Vempin Media Tanzania on September 09, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Vipaji vya watoto huanza kujichomoza mapema wangali wachanga hebu cheki kama hapa hawa watoto wanaonekana kuwa na vipaji vingi, wengine hapa ni madaktari, wengine watakuwa wanasiasa na wengine ndo hivyoo maji lazima yafuate mkondo wake. Comments
Comments