hatariii Posted by Vempin Media Tanzania on September 14, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwendesha pikipiki akiwa amepakia mwanamke na mtoto bila ya kuwapatia na kofia za usalama kama walivyokutwa Tabata Relini Dar es Salaam jana, jambo ni hatari kwa abiria hao endapo patatokea tatizo la ajali. Picha na Emmanuel Herman Comments
Comments