Afya ya huyu jamaa itakuwaje baadaye Posted by Vempin Media Tanzania on September 03, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Kijana ambaye jina halikuweza kufahamika mara moja alikutwa akizibua choo bila ya kuwa na vifaa maalumu vya kujikinga na magonjwa ya milipuko hivi karibuni katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam. Picha ya Venance Nestory. Comments
Comments