Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kushoto ni Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd bwana Mark Anthony Shayo na kulia ni afisa Mazingira katika manispaa ya Ilala Mr. Mapunda.
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo na mgeni rasmi Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Anna Emili kama mfanyakazi bora
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Mwajabu Said kama mfanyakazi bora.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Sia Ulio kama mfanyakazi bora.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Fatma Salehe kama mfanyakazi bora.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Hamza Saidi kama mfanyakazi bora
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Hassan Juma kama mfanyakazi bora
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Kelvin Jonas kama mfanyakazi bora
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Sudi Juma kama mfanyakazi bora
Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Marry Baraka kama mfanyakazi bora.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Carolina Ilomo kama mfanyakazi bora.
Picha ya Pamoja kati ya Mh Naibu meya na Mkurugenzi Mkuu wa Waste Pro Ltd.
Wafanyakazi wa Waste Pro Ltd wkipata picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Comments