Tuesday, June 24, 2014

MAMA KIKWETE APEWA ZAWADI YA KINYAGO

D92A3555Mkrugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za jamii(SSRA) Bibi Irene Kisaka akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kumsaidia Mh.Rais katika jitihada zake za kujenga utawala bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam jana usiku(picha na Freddy Maro).

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...