MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014 ‏

DSC_0087
Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.
DSC_0099
Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton, ambapo amelishukuru tamasha la ZIFF 2014 kwa kutoa nafasi kwa wasanii wanaoimba Live Music kuonyesha uwezo…
DSC_0087
Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.
DSC_0099
Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton, ambapo amelishukuru tamasha la ZIFF 2014 kwa kutoa nafasi kwa wasanii wanaoimba Live Music kuonyesha uwezo wao kwenye tamasha hilo linaloukutanisha watu mbalimbali kutoka kila kona ya dunia ikiwemo na kubadilishana uwezo na wasanii wengine wa nje.
DSC_0129
Msanii wa muziki wa Bongo flava visiwani Zanzibar almaarufu kama Rico Single, akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameahidi kuwapa raha ya Live Music kupitia bendi ya BODY, MIND & SOUL kutoka nchini Malawi itakayokuwa ikimpigia vyombo, vilevile amewapongeza waandaji wa tamasha hilo kwa kuwapa nafasi na kuwatangaza wazawa kimataifa kupitia tamasha hilo.
DSC_0010
Baadhi ya wasanii wa filamu na muziki wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton visiwani Zanzibar.
DSC_0009
(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

Comments