Monday, June 16, 2014

Waziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu Apokea Rasmi Helikopta iliyotolewa Msaada na Taasisi ya Howard Buffet Kwaajili ya Kusaidia Mapambano Dhidi ya Ujangili katika Hifadhi za Taifa nchini

 Mwonekano wa helkopta iliyotolewa msaada na Taasisi ya Howard Buffet kwaajili ya kusaidia mambambano dhidi ya ujangili katika hifadhi za taifa nchini.
 Waziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wapili kushoto) akipokea funguo ya helkopta kutoka kwa ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Helicopter Charter (EA) Ltd, Peter Achammer iliyotolewa msaada na Taasisi ya Howard Buffet kwaajili ya kusaidia mapambano dhidi ya ujangili katika hifadhi za taifa nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Balozi9 wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress (wapili kulia) na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa.
Mwneyekiti wa Kamati ya Bunge wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Kahama-CCM  James Lembeli(Kushoto wa Kwanza)akimshukuru Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress baada ya kupokea helikopta hiyo
 Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa iringa mjini, Peter Msigwa (kushoto)akikaribishwa kuona helikopta hiyo
 Waziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa ndani ya helicopter mpya baada ya kupokea  funguo ya helkopta hiyo kutoka kwa ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Helicopter Charter (EA) Ltd, Peter Achammer iliyotolewa msaada na Taasisi ya Howard Buffet kwaajili ya kusaidia mampambano dhidi ya ujangili katika hifadhi za taifa nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika juzi jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa.

No comments: