Monday, June 30, 2014

EVANS AVEVA RAIS SIMBA

10Matokeo yametangaza na Evance Aveva amechaguliwa kuwa rais mpya wa klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam huku Makamu wa rais akichaguliwa Bw. Godfrey Nyange Kaburu matokeo ya uchaguzi huo yametangazwa jana alfajiri naidadi kamili ya kura walizopata tutawapatia baada ya muda, Kwa upande wa kamati ya utendaji waliochaguliwa ni Idd Kajuna, Coliins Friesh, Ally Suru na Saild Tully kwa upande wa mwanamke ni Jasmin.

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...