Kimwana Alice Issack Anyakua Taji la Redd's Miss Dar City Center

 Redd's Miss Dar City Center, Alice Issack
 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto).
  Warembo walioingia katika hatua ya tano bora.
  Hoyce Temu akitoa utaratibu wa kujibu maswali.
  Jaji Mkuu wa shindano hilo Wema Sepetu akiwa na majaji wenzake wakifuatilia shindano la Redd's Miss Dar City Center.Picha na Dande Francis

Comments