Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Profesa Midori Uno, anayefundisha somo la kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Soka kilichoko Tokyo nchini Japan
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama
Salma Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Profesa Midori Uno,
anayefundisha somo la kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Soka kilichoko
huko Tokyo nchini Japan. Mama Salma alikutana na mgeni wake huyo kwenye
hoteli ya Intercontinental huko Yokohama jana mchana.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama
Salma Kikwete akiwa kwenye mazungumzo Profesa Midori Uno,
anayefundisha somo la kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Soka kilichoko
huko Tokyo nchini Japan. Mama Salma alikutana na mgeni wake huyo kwenye
hoteli ya Intercontinental huko Yokohama jana mchana. Picha na John Lukuwi
Comments