Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ashiriki Sherehe Za Kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu,Tamisemi, Makatibu Tawala wa Mikoa
Makatibu Tawala wa Mikoa Wastaafu, Bernard Nzungu (kushoto) na Getrude Chipaka wakisakata Rhumba katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Juni 22, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi runinga ya nchi 32 Katibu Twala wa mkoa wa Pwani Mstaafu, Bernard Nzungu katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments