Taswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais Akutana Kwa Mazungumzo na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Comments