Sunday, June 16, 2013

DIAN S LIAER KUTOKA KILOSA NDIYE REDD’S MISS MOROGORO 2013

 Mshindi  wa taji la Redd’s Miss  Morogoro 2013 Dian S. Liazer akiwapungia mikono wananchi  huku akiwa na mshindi  wa pili  Sabra Islam na mshindi namba  tatu Musne Abdul, kushoto ni mdhamini mkuu wa shindano  hilo Rama Chalinze mwakilishi  wa NAF BAECH HOTEL PICHA NA FRANCIS GODWIN
Matangaza haya  kwa udhamini  wa NAF Beach Hotel Mtwara  ipo  mbioni kufunguliwa

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...