Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa
kamati ya Mambo ya Nje ya bunge la Japan Mh.Katsyuki Kawai wakati
mwenyekiti huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo jijini
Yokohama leo .Wengine katika picha kushoto ni Mbunge wa Nzega Dkt.Hamisi
Kigwangala na kulia ni Mbunge wa Kasulu mjini Mh.Moses Joseph
Machali.Wabunge hao ni wajumbe walioko katika msafara wa Mheshimiwa Rais
anayehudhuria Mkutano wa tano wa TICAD unaoendelea jijini Yokohama
Japan.Picha na Freddy Maro
Comments