Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu Jaji Hamisi maarufu
kama Kashi amefariki dunia leo hii katika hospitali ya Muhimbili. bado
hatujajua chanzo cha kifo chake lakini tutawaletea updates. Kashi
alikuwa muigizaji mwenye kipaji cha hali ya juu katika filamu, pia
aliwika na kundi la Shirikisho msanii Afrika lililokuwa linaonyesha
michezo yake ITV. Rest in peace Kashi
|
Msanii Kashi |
|
Msanii Kashi |
Comments