Anaitwa VIRGINIA MOKIRI ni mshiriki namba 1. Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.

Anakwenda kwa jina la EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara na baade kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa.
BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
VENCY EDWARD ni mshiriki nambari 7, akitoka Mkoa wa Rukwa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
WARID FRANK huyu ni mshiriki namba 30 akitokea Arusha ana kuiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
Anaitwa ZUWENA NASIB akiwa ni mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT.
(PICHA NA: Father Kidevu Blog)
No comments:
Post a Comment