KINANA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

 Abdurahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM
 Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara)
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
 Nape Nnauye-Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
Asha-Rose Migiro-Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa

 Zakia Hamdan Megji- Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha
Muhammed Seif Khatib-Katibu wa NEC, Oganaizesheni. Picha kwa niaba ya BASHIR NKOROMO

Comments