Kivinje Restaurant Nangurukuru

Kivinje restaurant Nangurukuru, Kilwa kama ilivyokutwa na mdau wetu Charles Kayoka

Comments

Unknown said…
Mambo hayo kaka! mara ya mwisho nilipita hapo 1993...hakukuwa na huduma zozote...inatia moyo
hahahahahah hivi sasa angalau mitaaa hii ya kuelekea kwetu inatia moyo bana aaa
Anonymous said…
kweli thamani ya kusini taratiiiiiiibu inaanza kujidhihirisha kutoka kula kivukoni NDUNDU RUFIJI enzi hizo hadi hiviiiii!!!!!!!!!!!