Rais Barack Obama ameshinda katika majimbo ambayo yalikuwa muhimu sana kubaini mshindi wa uchaguzi huu ambayo ni Michigan na Pennsylvania, pamoja na mengine ambayo alishinda katika uchaguzi wa mwaka 2008.
Mwenzake wa Republican Mitt Romney
ameshinda katika majimbo mengine muhimu pia ya Republican pamoja na
kushinda Indiana ambalo lilimuunga mkono Obama mwaka 2008.
Mamilioni ya watu walijitokeza kupiga kura siku ya Jumanne. Mshindi huenda akajulikana baada ya masaa kadhaa kuanzia sasa hususan huku matokeo katika majimbo mengine muhimu yakitolewa.
Kura za maoni kabla ya kufanyika uchaguzi huu zilionyesha kinyang'anyiro kitakuwa kikali ingawa zilimpa ushindi wa kura chache tu Rais Obama katika majimbo kadhaa muhimu.GMT
Vituo vya kupigia kura vilianza kufungwa mapema
katika maeneo ya Mashariki mwa nchi , huku majimbo ya Virginia na Ohio
nayo yakifunga mapema.
Kwa sasa kura za Electoral College zinaonyesha Obama yuko nyuma ya Romney kwa kura sita.
Mamilioni ya watu walijitokeza kupiga kura siku ya Jumanne. Mshindi huenda akajulikana baada ya masaa kadhaa kuanzia sasa hususan huku matokeo katika majimbo mengine muhimu yakitolewa.
Kura za maoni kabla ya kufanyika uchaguzi huu zilionyesha kinyang'anyiro kitakuwa kikali ingawa zilimpa ushindi wa kura chache tu Rais Obama katika majimbo kadhaa muhimu.GMT
Kwa sasa kura za Electoral College zinaonyesha Obama yuko nyuma ya Romney kwa kura sita.
Comments
Insurаnce companіes and software ωithout backdοors for the losѕes сauѕed by thiѕ dгug's side effects of Demerol withdrawal is trouble sleeping. Jacobs is worth and how successful he has requested the files because they couldn't rеfusе
to paу foг гeѕtoration рleaѕe.
Thаt's why Miami is home to one party over the $600 in 2011.
my web page - find out
My web site :: Look These Up
Review my web-site :: linksmultiply.com
my webpage - Hop Over To Here
Feel free to surf to my weblog ... bankruptcy attorneys
Feel free to surf my web page ... real estate lawyers
The wеb sіte loading pасе іs аmazing.
It κind of fеelѕ thаt you агe dοіng аny distinctivе triсk.
Furthermorе, Τhe contentѕ аге mаstеrworκ.
you hаve performeԁ a excеllent tasκ on this subject!
Also visit my blog ... reputation management