JK AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA CCM DODOMA

 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM, leo.
 Makamu Mwenyekiti Mteule wa CCM (Bara), Phili Mangula (kulia) akiungana na wanachama wengine kushangilia Mwenyekiti wa CCm, Rais Kikwete alipoingia ukumbini wakati wa mkutano huo
 Baadhi ya wajumbe ukumbini
 wake wa viongozi
 Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje
 Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
 Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Watu waliokuwa nje ya ukumbi wakifuatilia kwenye banda maalum. PICHAZOTE KWA HISANI YA KAMANDA BASHIR NKOROMO WA UHURU

Comments